Post #1284391: USM Alger haipo Top10 ya vilabu Africa. Lakini kwa…
USM Alger haipo Top10 ya vilabu Africa. Lakini kwa daraja wanalocheza unaweza ukaona wachezaji wawili mpaka watatu wa vilabu vyetu ndio wanaweza kuingia First Eleven yao. Nimekumbuka mechi mbili za Simba na Wydad kisha nimewaza safari ya Yanga kuanzia Club Africain mpaka Marumo!

SeksWanita
🎂 Usia47

Tampilkan semua @albogastbm

Pembaruan

Popular now

Explore