Eastafricatv - #CAFCL Mchezo wa kwanza wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika umemalizika | Foxdeo - Vi betaler for dine indlæg
📣 Sponsoreret af:
#CAFCL Mchezo wa kwanza wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika umemalizika kwa Al Ahly kuibuka na ushindi nyumbani. Je, nyumbani kwa Wydad nani atafanikiwa kunyakuwa ubingwa? #CAFCLFinal#AlAhly#WydadCasablanca