Eastafricatv - #CAFCL Mapumziko, Wydad Casablanca wako nyuma dhidi ya wenyeji Al Ahly | Foxdeo - Kami membayar posting Anda
📣 Disponsori oleh:
#CAFCL Mapumziko, Wydad Casablanca wako nyuma dhidi ya wenyeji Al Ahly kwenye mchezo wa kwanza wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika mjini Cairo. Je, Al Ahly wataweza kuondoka na ushindi hapa? #CAFCLFinal#AlAhly#WydadCasablanca