#CAFCL Mapumziko, Wydad Casablanca wako nyuma dhidi ya wenyeji Al Ahly kwenye mchezo wa kwanza wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika mjini Cairo. Je, Al Ahly wataweza kuondoka na ushindi hapa? #CAFCLFinal#AlAhly#WydadCasablanca
#CAFCL Wydad leo wanakutana na hasira za Al Ahly nyumbani kwao, wameshakula chuma mbili mpaka sasa kipindi cha pili kinaendelea. #CAFCLFinal#AlAhly#WydadCasablanca
#CAFCL Mchezo wa kwanza wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika umemalizika kwa Al Ahly kuibuka na ushindi nyumbani. Je, nyumbani kwa Wydad nani atafanikiwa kunyakuwa ubingwa? #CAFCLFinal#AlAhly#WydadCasablanca